MASWALI NA MAJIBU

Unaweka oda, kisha tunakuletea.

Dar es Salaam utapokea mzigo wako ndani ya dakika 40, mkoani utapokea kesho kama utafanya malipo leo.

Mkoani analipia kisha unatumiwa mzigo wako. Kama upo Dar es Salaam, utalipia baada ya kupokea mzigo wako.

Ndio, pesa yako iko salama kwakuwa tumesajiliwa kisheria na unalipia kwa Lipa namba ya kampuni.

Ndio kama bidhaa ni mbovu au ina kasoro unaweza kurudisha tukakubadilishia.

Bidhaa hairudishwi kama haina kasoro yoyote.

Tukishakutumia mzigo wako mkoani, tutakutumia risiti ya kupokelea mzigo kwenye kampuni ya basi husika, endapo ikitokea mzigo ukapotea; utafuatilia kwenye kampuni husika kwa kutumia risiti ya mzigo tuliyokupa.

Ndio , bidhaa zetu ni Original, na asilimia kubwa ya bidhaa zetu zina warranty.

Tunapatikana Mikocheni , nyuma ya shoppers Plaza.